Michezo

BREAKING: Yanga SC wamfukuza kazi Kocha Zlatko

on

Uongozi wa Yanga SC licha ya kupata ushindi wa magoli 3-0 leo dhidi ya Coastal Union wametangaza kumfuta kazi kocha wao mkuu Zlatko Krmpotic raia wa Serbia.

Zlatko huwa hadumu na timu
🇹🇿Yanga SC siku 37
🇿🇦Polokwane siku 113
🇷🇼 APR siku 159
🇧🇼 Jwaneng Galaxy Siku 189
🇿🇲 Zesco siku 165

Zlatko hadi anatumuliwa Yanga SC alikuwa kaiongoza timu hiyo katika michezo 5 na ameshinda mechi nne na sare moja, sare mchezo mmoja, lakini leo ndio ushindi wake mnono wa kwanza wa zaidi ya goli.

Soma na hizi

Tupia Comments