Michezo

BREAKING: Yanga SC wamfuta kazi kocha

on

Club ya Yanga SC imemfuta kazi kocha wake mkuu raia wa Ubelgiji Luc Eymael kwa madai ya kutoa kauli za kibaguzi na zisizofaa.

Yanga imeomba radhi wananchi wote na viongozi wa kitaifa, Yanga imeahidi kocha huyo kuhakikisha ina muondoa nchini haraka iwezekanavyo.

Hata hivyo Luc Eymael na Yanga chini ya usimamizi wa wadhamini wao GSM waliingia mkataba miezi 18 na kocha huyo mwishoni mwa mwaka 2019.

Soma na hizi

Tupia Comments