Michezo

BREAKING: Yanga wamfukuza Cedric Kaze

on

Baada ya mfululizo wa matokeo mabovu Club ya Yanga SC imeamua kumfuta kazi Kocha wake Mkuu raia wa Burundi Cedric Kaze pamoja na benchi zima la ufundi.

Wengine waliofutwa kazi ni Kocha Msaidizi Nizar Khalfan, Kocha wa Makipa Vladimir Niyonkuru, Kocha wa viungo Edem Mortoisi pamoja na afisa usalama wa timu Mussa Mahundi.

Soma na hizi

Tupia Comments