Top Stories

Breaking:DC Msando apata ajali, magari yamegongana Uso kwa Uso

on

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa Mkoani Morogoro baada ya Gari aliyokuwa amepanda kugongana Uso kwa Uso na gari lingine.

Ajali hiyo imetokea wakati Mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya Waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea Morogoro mjini DC Msando na Dereva wake tayari wamepelekwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kwa ajili ya Kupatiwa matibabu. Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.

 

ALIEDAIWA KUPATA CHANJO YA CORONA KISHA KUSHINDWA KUONGEA KATIKA MKUTANO AFUNGUKA “NILIKUWA SIJALA”

Soma na hizi

Tupia Comments