Michezo

Breaking:Hans Pope wa Simba SC afariki dunia

on

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC na Mfanyabiashara Zakaria Hans Pope amefariki Dunia usiku huu jijini Dar es Salaam akiwa anapatiwa matibabu.

Wiki chache nyuma Hans Pope akihojiwa na moja kati ya vituo vya radio nchini alithibitisha kulazwa ICU kutokana na kusumbuliwa na virusi vya Corona na baadae alipata nafuu.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments