BreakingNews

BREAKING: Maamuzi ya mwisho kwenye kesi ya Mabula na Wenje yametangazwa leo

on

Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Jimbo la Nyamagana iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje (CHADEMA) dhidi ya Mbunge wa sasa wa Nyamagana Stanslaus Mabula (CCM) ilikuwa ikiendelea katika mahakama Kuu Mwanza ambapo Ezekiah Wenje alifungua kesi hiyo akipinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yakimpa ushindi Mbunge wa sasa, Stanslaus Mabula.

April 08 2016, maamuzi ya kesi hiyo yametangazwa ambapo Stanslaus Mabula ameshinda kesi hiyo, baada ya kuonekana upande wa madai hauna ushahidi unaokidhi, kuithibitishia mahakama. Endelea kuwa karibu na millardayo.com kwa ajili ya taarifa zaidi.

ULIKOSA MAAMUZI YA MWISHO, MAHAKAMANI KWENYE KESI YA MBATIA NA MREMA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments