Habari za Mastaa

Chris Brown anaisogeza ‘Little More’ single special kwajili ya mwanae Royalty – (Audio)!

on

Baada ya kuisogeza kwetu Anyway, Chris Brown amerudi tena na nyingine mpya! Wimbo unaitwa ‘Little More (Royalty)’ na ni single special kwajili ya mwanae wa mwaka mmoja na nusu, Royalty.

little3

Chris Brown na mwane Royalty.

Ndani ya wimbo huu Chris Brown anasikika akiimba maneno haya…Even though I’m a man girl, you’ra makin’ me feel like a baby/ Oh girl when you lay in my arms, I take advantage of the moment/ The way you make me smile is the definition of a real lady” – yote ikiwa mistari ya upendo mkubwa juu ya mwanae.

Kama haijakufikia tumia dakika zako nne kusikiliza wimbo huo hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments