Breaking News

BREAKING: Producer Pancho Latino amefariki Dunia leo

on

Producer Pancho Latino ambae alifanya kazi kwenye studio mbalimbali ikiwemo kwa Prince Dullysykes na Hermy B amefariki, chanzo cha kifo chake kimetajwa kwenye taarifa za awali kuwa ni kuzama kwenye maji kwenye kisiwa cha Mbudya Dar es salaam, tunaendelea kufatilia zaidi.

TOP 10: MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUMHUSU JAKAYA KIKWETE

Soma na hizi

Tupia Comments