Michezo

BREKING: Yanga yamalizana na Juma Balinya

on

Club ya Yanga SC imetangaza rasmi kuvunja mkataba na mchezaji wake Juma Balinya kutoka Uganda, inadaiwa kuwa mkataba huo umevunjwa kwa makubaliano ya pande mbili wakati huu kukiwa na madai ya mishahara.

Katika taarifa waliyoitoa Yanga SC leo hii ni kuwa Yanga imevunja mkataba na Balinya lakini haikaweka wazi sababu rasmi za wao kuvunja mkataba na mchezaji huyo.

VIDEO:YANGA SC YATANGAZA MADENI YAKE, CHIRWA, NGOMA, ROSTAND WANADAI

Soma na hizi

Tupia Comments