Habari za Mastaa

BRIGITTE: “Naolewa soon, harusi ya watu 100 tu… Watoto 6, Zitto Kabwe alinipa milioni 40”

on

Tunae Mrembo Brigitte Alfred Miss Tanzania 2012 ambae Mungu akijalia soon tutamuondoa kwenye orodha ya walio single kwani anatarajia kuolewa hivi karibuni na Mwanaume ambae sio raia wa Tanzania, kwenye hii Exclusive Brigitte amefunguka kuhusu mapenzi, kazi, masomo yake na mengine…

VIDEO: MTANZANIA ALIESHINDA MILIONI 340 MAREKANI “SINA GARI, BADO NITATEMBEA KWA MGUU” MTAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments