Premier Bet
TMDA Ad

Nyumba/ Mijumba

Gereza limegeuzwa bonge la Hoteli, kulala humu vipi ni noma au? (Pichaz & Video)

on

2737491F00000578-3022752-image-a-49_1427965233503

Bridewell lilikuwa Gereza ndani ya Liverpool Uingereza ambalo lilijengwa tangu miaka ya 1550 hivi, liliwahi kubadilishwa matumizi yake kwa mara kadhaa lakini hii ya sasa hivi ni story tofauti yani.

Pata picha mahali kama Gereza la Segerea, Keko au Ukonga ambamo leo hii wanahifadhiwa watu ambao wanatumikia vifungo, utajisikiaje siku moja kuingia kulala ndani ya Gereza mojawapo ikitokea miaka hata kumi baadae Gereza mojawapo linageuzwa Hoteli ya  Kifahari kabisa !!
27373D7D00000578-0-image-a-10_1427963577903

Bridewell Prison ilikuwa zamani mtu wangu, watu wameamua pasibaki hivihivi, imetengezwa bonge la Hoteli na kuna vitu vichache ukiviona ndio utashtuka kwamba hapo palikuwa Gereza…

27373D6900000578-0-image-m-9_1427963570709

27374E6000000578-0-image-a-37_1427963998429

273743E800000578-0-image-a-13_1427963608585

Mwonekano wa Koridoni

273747DC00000578-0-image-a-11_1427963588161

Karibu sana aisee, hapa ndio chumbani tayari !!

273747F400000578-0-image-a-20_1427963697088

273749A300000578-0-image-m-19_1427963689891

Chumbani kumependeza kiukweli.

2737492B00000578-0-image-m-47_1427964124835

Hapo wakati likiwa Gereza bado.

2737492F00000578-0-image-a-48_1427964131075

Wataalam wakiendelea na kubadili mambo ya huo mjengo.

2737493B00000578-0-image-a-28_1427963859327

Mwonekano wa korido.

2737475400000578-0-image-m-33_1427963935104

Hapo ni katikati ya Hoteli, ambapo kwa zamani ungekuta wafungwa wakipiga zao story mchana au jioni.

2737491700000578-0-image-a-3_1427963534759

Mwonekano wa mlango wa Gereza hapo zamani.

2737494700000578-0-image-m-25_1427963794695

2737515100000578-0-image-a-39_1427964031539

Mwonekano wa nje wakati mambo yakiendelea kubadilishwa.

Baada ya kuwa Hotel kwa sasa pataitwa Stay Central The Bridewell, katikati ya Liverpool Uingereza..

Hizi ni pichaz nyingine mtu wangu.

27373D7D00000578-0-image-a-10_1427963577903

Jamaa anaekatisha hapo ndio msimamizi wa hii biashara mpya ya Hoteli ambayo lilikuwa Gereza.

JS59048038

Karibu mtu wa nguvu, hata usiogope mlango.. Sio Gereza tena ni Hoteli.

JS59050648

Ndani kila kitu ni safi, mpaka Gym ipo yani..

JS59050929

Hii picha ilipigwa mwaka 1994, Afande yuko attention kabisa na Sare yake ya kazi.

JS59050940

Kwenye moja ya kuta za Hoteli hiyo kulikutwa na haya maandishi, ‘Siku moja utakuwa huru’

JS59051017

JS59051037

JS59051041

Hiki kilikuwa chumba cha kufanyia Mahojiano watuhumiwa.

Unaweza ukaona pia kinachosimuliwa kwenye hii Video kuhusu Gereza lililogeuzwa Hoteli Uingereza.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments