Habari za Mastaa

GoodNEWS: Mwimbaji Baraka Da Prince aingia alipo Alikiba

on

Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi ninayo stori inayomuhusu msanii wa Bongo Fleva, Baraka Da Prince ambaye July 7, 2016 anazimiliki headlines kwenye muziki wa Bongo Fleva baada ya kusaini mkataba wa kufanya kazi na label ya Rockstar4000.
TUFF5666
Label hiyo ambayo inafanya kazi na staa Alikiba itasimamia pia kuandaa album ya Baraka Da Prince inayotarajiwa kuachiwa mwaka 2017, pia moja ya kazi za mkataba huo ni kumtengeneza Baraka Da Prince kwenye kiwango cha juu zaidi kimuziki na kimataifa.

ULIIKOSA HII BARAKA DA PRINCE KUHUSU COLLABO YAKE NA SAUTI SOL BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments