Habari za Mastaa

Exclusive: Picha 10 kutoka ndani ya studio, hapa ni Baraka Da Prince na Alikiba….

on

Ni Usiku wa 27, 2016  ambapo muunganiko wa ladha mbili kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva unagusa headlines za burudani baada ya msanii Baraka Da Prince kumshirikisha msanii Alikiba kwenye single yake mpya.

Single hiyo mpya iitwayo Nisamehe inayotarajiwa kuachia siku za hivi karibuni imetayarishwa katika studio za THT chini ya Emma The Boy.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka studio jinsi collabo hiyo ilivyokuwa ikifanyika.

.

.Producer Emma The Boy

.

.

.

.

.

.Katikati ni msanii Ommy Dimpoz naye alipata time ya kushuhudia collabo hiyo ilivyofanyika studio za THT chini ya producer Emma The Boy

.

.

.

.

.

.

.

.Kushoto ni Alikiba akiwa na Baraka Da Prince 

.

.Producer Emma The Boy 

.

.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIIKOSA YA NAY WA MITEGO KUHUSU MAMA WATOTO WAKE SIWEMA KUFUNGWA JELA MIAKA MIWILI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments