Breaking News

BREAKING: Katibu Mkuu wa CCM akitangaza na kupokea ugeni mkubwa CCM

on

Kuanzia jana usiku ilisambaa taarifa kutoka CCM kwamba leo Jumatatu August 13 kitatangaza na kuupokea ugeni mkubwa kwenye chama hicho ambapo wengi waliamini kwamba huenda kuna Wanasiasa wanajiunga nayo, tupo live kutoka kwenye makao ya CCM bonyeza hapa chini kutazama LIVE

BREAKING LIVE: TAARIFA MUHIMU TOKA IKULU, JPM AFANYA UTEUZI MWINGINE… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments