Top Stories

BREAKING: ACT wamjibu Katibu Mkuu wa CCM, wazungumzia tafiti pia

on

Chama cha ACT WAZALENDO kimeita Waandishi wa Habari leo Dar es salaam kuzungumzia matokeo ya utafiti uliofanywa kwa Watanzania pamoja na kuzungumzia kauli za Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru alizozitoa juzi.

BREAKING: KATIBU MKUU CCM AFUNGUKA MENGI, MBUNGE WA LIWALE AJIVUA C.U.F MBELE YAKE

Soma na hizi

Tupia Comments