Breaking News

VIDEO: Said alivyomwaga machozi baada ya Scorpion kuhukumiwa miaka 7

on

Leo January 22, 2018 kwenye Mahakama ya Wilaya ya Ilala Salum Njwete ‘SCORPION’ amehukumiwa kwenda jela miaka 7 baada ya kupatikana na hatia ya kumjeruhi na kumsababishia upofu wa maisha Kinyozi Said Mrisho mwaka 2016.

Tazama kwenye hii video hapa chini Said alivyomwaga machozi Mahakamani….

BREAKING: Salum Njwete “SCORPION” ahukumiwa Jela miaka 7, bonyeza play hapa chini kupata taarifa kamili

Soma na hizi

Tupia Comments