Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

BreakingNews

BREAKING: Tetemeko jingine la ardhi limetokea Bukoba saa 5 kasoro usiku Sept 11

on

Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Kagera usiku wa saa tano kasoro September 11 2016 wametoneshwa kidonda baada ya tetemeko dogo kutokea ikiwa ni ndani ya saa 48 baada ya tetemeko la kwanza lililoua watu 16.

Baada ya tetemeko la pili ambalo bado madhara yake hayajaripotiwa,  reporter wa AyoTV Bukoba amesema baadhi ya watu wametoa magodoro ili walale nje wakihofia kutokea tena kwa tetemeko jingine usiku huu na likawakuta ndani ya nyumba.

millardayo.com na AyoTV zinaendelea kufatilia kwa ukaribu ili kukupa kila kinachoendelea ila kwa sasa unaweza kumsikiliza Mtangazaji/Mwandishi wa Radio kutoka Bukoba kwa kubonyeza play hapa chini.

KAMA ULIKOSA TAARIFA YA TETEMEKO LA ARHDI LILILOTOKEA BUKOBA SEPT 10 BASI BONYEZA PLAY KUMSIKILIZA SHUHUDA

Soma na hizi

Tupia Comments