AyoTV

BREAKING: Philemon Ndesamburo Mbunge wa zamani Moshi Mjini amefariki dunia

on

Taarifa nilizozipokea mchana wa leo May 31, 2017 ni kutoka Moshi Tanzania, ni taarifa ya msiba wa aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo maarufu kama Ndesapesa amefariki dunia ghafla leo. millardayo.com na AyoTV zinafatilia kwa ukaribu kupata taarifa kamili ya kifo chake.

VIDEO: Ulipitwa na kila kitu kuhusu msiba wa Ivan Don na mazishi yake Uganda? Tazama hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments