AyoTV

Maneno ya Baraka baada ya comment ya Msami kuhusu Naj

on

Kama wewe ni mpenzi wa kufuatilia wasanii wako wa bongoflevani, kumekuwa na headlines kuhusu Baraka the Prince kupanick na kumjibu maneno yasiofaa Msami baada ya kucomment kwenye picha ya mpenzi wake Naj Instagram.

untitled

Camera za Millardayo na AyoTV ziliweza kumpata Baraka the Prince na akatoa ufafanuzi juu ya  lile jibu lake kwa Msami na ameyasema haya….

‘Me msami ni mshikaji wangu na uwaga tunapenda kutaniana sana, nimekuja kujibu ile comment yake siku zile ilikuwa picha ya Najma alivyoandika ‘uyu mtoto mkali sana nmemtamani’ me nilichukulia masihara tu ila watu wakachukulia ile ishu kama me nilimaanisha kwasababu wabongo ni watu sensitive sana na wanapenda kujudge wanavyojudge’ – Baraka

ULIMISS HII YA MSAMI KUELEZA SABABU ZA KUACHANA NA IRENE UWOYA?UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA  HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments