Breaking News

BREAKING: Mahakama kuu yamuhukumu Lulu kwenda Jela

on

Leo ndio siku ambayo Mahakama Kuu Tanzania ilikua inasubiriwa kutoa hukumu ya kesi ya kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba ambayo ilikua inamkabili Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” ambae alikua mpenzi wake.

Mahakama kuu ya Tanzania imemuhukumu Mwigizaji huyo kwenda jela miaka miwili kufuatia kesi iliyokua ikimkabili ya kumuua bila kukusudia Mwigizaji Steven Kanumba.

VIDEO: TAZAMA LULU ALIVYOINGIA MAHAKAMANI LEO KUSUBIRIA HUKUMU YA KESI YAKE

VIDEO: IMEFAHAMIKA HAPA NDIPO ANAPOISHI DR. LUIS SHIKA, MAJIRANI WAONGEA

Soma na hizi

Tupia Comments