March 15 2016 kituo cha ITV kimeripoti taarifa kutoka visiwani Zanzibar ambapo inadaiwa kuwa na taarifa za watu wasiojulikana kurusha bomu nyumbani kwa Mkuu wa Polisi Visiwani Zanzibar eneo la Kijichi.
Mkuu wa Polisi huyo anayefahamika kwa jina la Hamdani Omar Makame, Kamishna wa Polisi Viswani Zanzibar
Bado Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi juu ya tukio hilo lilofanyika nyumbani kwa Kamishina huyo wa Polisi.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB,InstagramnaYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE