Habari za Mastaa

Baada ya ‘nje ya box’ hii ndio video mpya kutoka kwa Nisher.

By

on

Screen Shot 2014-03-10 at 1.30.42 PMHii ni video mpya ya msanii mpya wa Tetemesha Entertainment aitwaye Barakah da Prince, video ilifanyika Dar na kuongozwa na director kutoka Arusha Nisher.

Hii ni video mpya kutoka kwa Nisher baada ya kuifanya ile ya ‘Nje ya Box’ ya Nikki wa II ft Joh Makini & G Nako’

Tupia Comments