Habari za Mastaa

Kuwa wa mwanzo kuusikiliza hapa Wimbo mpya wa Barnaba Jasho la Mnyonge.

By

on

BARNABAS fnLHuu ni wimbo mpya wa Barnaba ambayo tulikuwekea kipande chake miezi kadhaa iliyopita,leo inatoka rasmi na Barnaba katubariki tuwe wa kwanza kukupatia wewe mtu wetu wa nguvu,hii inaitwa Jasho la Mnyonge imefanywa na Tuddy Thomas pale Soround Sound Studio.

Bonyeza play kuusikiliza.

Tupia Comments