Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Radio iliyotangaza mapinduzi Burundi imechomwa, picha zake ndio hizi
Share
Notification Show More
Latest News
Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5
May 30, 2023
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > BreakingNews > Radio iliyotangaza mapinduzi Burundi imechomwa, picha zake ndio hizi
BreakingNewsStori KubwaTop Stories

Radio iliyotangaza mapinduzi Burundi imechomwa, picha zake ndio hizi

May 14, 2015
Share
1 Min Read
SHARE
Screen Shot 2015-05-14 at 12.36.16 PM
Jengo la kituo cha Radio kilichochomwa moto Burundi.

Kama ulipitwa na hii Breaking News kutoka Bujumbura Burundi asubuhi ya May 14 2015 zilitoka taarifa kwamba raia hawatoki nje, milio ya risasi inasikika, Wanajeshi watiifu wa Rais wanapambana na waliotangaza kumpindua jana.

Pia kituo binafsi cha Radio kilichotumika kutangaza mapinduzi ya kijeshi kilichomwa moto saa tisa usiku wa kuamkia May 14 2015 na Wanajeshi wanaomtii Rais lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha.

Screen Shot 2015-05-14 at 12.35.36 PM
Wa kwanza kushoto ndio Jenerali mwenyewe aliyetangaza mapinduzi, hapa ndio alikua anaondoka kwenye jengo hilo muda mfupi baada ya kutangaza mapinduzi.
Screen Shot 2015-05-14 at 12.36.06 PM
Jengo la Radio kabla ya kuchomwa moto.

Screen Shot 2015-05-14 at 12.36.24 PM

Screen Shot 2015-05-14 at 12.36.35 PM
Hii picha ni wakati Meja Jenerali Godefroid Niyombareh akitangaza mapinduzi hayo kwenye Radio.

Endelea kukaa na millardayo.com kwa taarifa zote zinazotufikia kutokea Burundi.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

You Might Also Like

Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba

TAGGED: Breaking news, Stori kubwa
Millard Ayo May 14, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Vanessa Mdee, Victoria Kimani, Yemi Alade pamoja kwenye hii Video…
Next Article Cristiano Ronaldo hakuwa nyuma kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi Nepal…
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5
Top Stories May 30, 2023
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
Top Stories May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
Top Stories May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
Top Stories May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5

May 30, 2023
Top Stories

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

May 30, 2023
Top Stories

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

May 30, 2023
Top Stories

‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?