Michezo

Barua ya Simba iliyoenda FIFA kuhusu TFF

on

Siku moja baada ya Ligi Kuu Tanzania bara kumalizika kwa Yanga kutwaa taji hilo wakati ikiripotiwa kuwa shirikisho la soka Tanzania TFF haijapokea barua ya Simba inayodai kupelekwa kwa shirikisho la soka ulimwenguni FIFA ya madai ya kutotendewa haki kuhusu point 3 vs Kagera.

Leo May 21 2017 kupitia mitandao ya kijamii barua ya Simba iliyopelekwa kwa shirikisho la soka ulimwenguni FIFA imeenea katika mitandao ya kijamii na ndani yake ikieleza kuikumbusha FIFA kumbukumbu namba ya document zao walizozituma kupitia DHL.

Simba kugomea zawadi ya mshindi wa pili VPL, kanuni zinasemaje?

Soma na hizi

Tupia Comments