Videos

INSTAGRAM: Baraka hajapenda Stan Bakora anavyomuigiliza kwa weusi wake

on

Baada ya mchekeshaji Stan Bakora kuirudia ngoma ya Baraka The Prince, mdundo wa ‘Nisamehe‘, Baraka ameiona video yenyewe na imeonekana hajapendezwa na ndio maana kwenye Instagram kaamua kumpa Stan Bakora onyo.

Maneno ya Baraka The Prince ‘Matani ni mazuri ila yakizidi yanaweza kuleta matatizo… heshima ichukue nafasi yake tafadhali mzee utani huu sijaupenda iwe mwanzo na mwisho tafadhaliscreen-shot-2016-10-09-at-11-38-23-pmULIIKOSA HII YA BARABARA 3 KUFUNGWA KUTOKANA NA SHOW YA CHRIS BROWN BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments