Breaking News

BREAKING: Polisi wamemkamata Zitto Kabwe Airport DSM

on

Jioni ya leo September 20 2017 imetoka taarifa kwamba Mbunge wa Kigoma Mjini ambae pia ni kiongozi wa Chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi.

Taarifa hizo zimethibitishwa na ACT WAZALENDO ambao wamesema ni kweli Zitto amekamatwa akiwa uwanja wa ndege Dar es salaam akitokea Kigoma, kwa sasa Wanasheria wa chama wanafatilia kujua sababu za kukamatwa kwake.

Endelea kukaa karibu na millardayo.com na APP mpya ya ‘millardayo‘ kwa wenye simu za ANDROID ili kupata kila kitachonifikia.

KAULI YA KWANZA: Zitto Kabwe baada ya nyumba yake kuteketea… bonyeza play hapa chini

BREAKING: Tundu Lissu kupelekwa Marekani? bonyeza play hapa chini kufahamu zaidi

Soma na hizi

Tupia Comments