Mix

Video: Ifahamu sababu kwanini barnaba haingii na dancers on stage

on

June 15 2016 nakukutanisha na stori hizi za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines na moja kati ya story za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines ni hii ya Barnaba kwanini haingiagi na dancers kwa stage nakuunganisha na Perfecto TV, pia usisahau kuniachia comment kuhusiana na stori hizi.

Mimi ni mwanamuziki lakini sidhani kama package yangu inafanana na watu wa dancers, mimi mwenyewe sauti yangu yenyewe ni dancer tutaweka ma dancers wote jamani sio sawa, naamini mimi ni msanii ambaye nikisimama mweyewe kwenye stage inatosha nafikiri pia mimi sio mtu wa staili hizo muziki wangu hauendani na package ya vitu hivyo sio kama nakataa dancers ila ikitokea dancers nafanya ila mimi sio mtu wakukaa na ma dancers

 

ULIMISS HII YA BABU TALE KUHUSU PICHA YAKE NA ALIKIBA ILIYOSAMBAA? ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments