AyoTV

VIDEO: Vipaumbele 17 vilivyoombewa Bajeti na Wizara ya Fedha 2017-18

on

May 30, 2017 Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Philip Mpango amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo katika mwaka wa Fedha 2017/2018 ambapo imeomba kutengewa kiasi Tsh. 11.7tr kama Bajeti Kuu.

MAGAZETI: Mangu afunguka baada ya Sirro kuapishwa, Mchanga wa madini Bungeni 

Soma na hizi

Tupia Comments