Mix

AyoTV MARA: Ndugu wa waliofukiwa Mgodini Butiama wameanza kukata tamaa

on

Ni siku ya nne leo tangu kutokea tukio la watu kufukiwa ndani ya Mgodi Buhemba wilaya ya Butiama Mara ambapo juhudi bado zinaendelea za kuwaokoa Watu wanne walioko chini ya ardhi ambao haijulikani kama bado wapo hai.

Ndugu wa Waliofukiwa wameanza kupoteza matumaini ya kuwapata ndugu zao wakiwa hai, AyoTV imezungumza na baadhi ya ndugu ambao wapo eneo la tukio kwa siku ya nne sasa wakiwangoja ndugu zao kuokolewa…. unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Walivyookolewa Wachimbaji 15 waliofukiwa Mgodini Geita, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments