Top Stories

Siku 7 za Wema Sepetu gerezani, Aunt Ezekiel aibuka Mahakamani (+Video)

on

Msanii wa filamu nchini Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu na Wema Sepetu ameonekana Mahakamani leo June 24,2019 baada ya Wema kurudishiwa dhamana yake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Wema Sepetu ambaye amesota gerezani kwa siku 7 kutokana na kukiuka masharti ya dhamana, Mahakama imemuonya msanii huyo endapo akirudia kukiuka masharti ya dhamana haitasita kumfutia kabisa dhamana hiyo. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Aunt Ezekiel alivyoibuka Mahakamani.

VIDEO: SIKU 7 ZA WEMA GEREZANI ZAMTESA AUNT EZEKIEL

Soma na hizi

Tupia Comments