AyoTV

VIDEO: Adhabu iliyotolewa na Bunge kwa Mbunge wa CHADEMA leo

on

Leo June 28, 2017 Bunge limemsimamisha Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchesta Rwamlaza kutoshiriki vikao vitatu vya Bunge linaloendelea Dodoma kwa kosa la kusema uongo mbele ya Bunge akimtuhumu Mbunge wa Muleba Kusini Prof. Anna Tibaijuka kujimilikisha ardhi yenye ya ukubwa wa ekari 400 kinyume cha sheria taarifa ambazo sio za kweli.

VIDEO: Taarifa kamili ya Mbunge aliyesema uongo kuhusu Prof. Tibaijuka 

Soma na hizi

Tupia Comments