Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.
Moja ya stori ambayo imeandikwa June 16 2016 kwenye gazeti la Mwananchi ni hii yenye kichwa cha habari ‘watu 9 kati ya 10 wataka Bunge ‘live’
#MWANANCHI Utafiti uliofanywa na shirika la Twaweza umebainisha watu 9 kati ya 10, sawa na 92% wanataka Bunge live pic.twitter.com/nEfKM8PDOw
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
Gazeti limeripoti utafiti uliofanywa na shirika la Twaweza ambapo umebainisha kwamba watu wanane kati ya kumi sawa na asilimia 79 ya waliohojiwa, wanapinga uamuzi wa Serikali kusitisha urushaji wa matangazo ya moja kwa moja ya mijadala ya Bunge.
Gazeti hilo pia limeeleza kwamba katika utafiti huo watu tisa kati ya kumi, sawa na asilimia 92 wanataka Bunge live, utafiti huo uliofanywa kati ya March 29 na April 12 kupitia mpango wa sauti za wananchi na kutangazwa jana, matokeo yanaonyesha wananchi wanapinga hatua hiyo wakidai ni haki yao ya msingi kujua kinachoendelea Bungeni.
Unaweza kuzipitia hapa habari nyingine kubwa kwenye magazeti ya leo
#NIPASHE Imebainika kuwapo kwa ubadhrifu mkubwa wa fedha uliofanywa na viongozi waliosimamishwa Bodi ya mikopo pic.twitter.com/gnHkB8dpHC
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
#NIPASHE Maandalizi ya mkutano mkuu CCM yameiva kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya chama pic.twitter.com/2ej6SZwF2X
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
#NIPASHE Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa mbunge Waitara kutokana na kufunguliwa nje ya muda pic.twitter.com/0boTatgO2Z
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
#MWANANCHI Manji asema anasubiri majibu ya Rais sakata la kuendeleza ufukwe wa Coco baada ya kumwandikia barua pic.twitter.com/TUxERuhJCN
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
#MWANANCHI Tani 1,150 za sukari zimeingia mkoani Mbeya kutoka Malawi kwa lengo la kupunguza upungufu wa bidhaa hiyo pic.twitter.com/G7lBwEnscn
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
#NIPASHE Polisi Dar yajipanga kumfikisha Zitto mahakamani baada ya kukamilika kwa uchunguzi pic.twitter.com/Q9LceJTRS8
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
#NIPASHE Mke wa aliyeua klabu ya mashoga Marekani huenda akashtakiwa kutokana na kujua mpango wa mashambulio hayo pic.twitter.com/L0WmLlexwF
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
#TanzaniaDAIMA Wazazi wametakiwa kuepuka kuwalaza watoto wa kike na wanaume wageni, ili kuepuka matukio ya ubakaji pic.twitter.com/XWmR5ecVMM
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
#TanzaniaDAIMA DAWASCO imetangaza tatizo la huduma ya maji kwa siku tatu ktk maeneo yanayohudumiwa na mtambo wa Ruvu pic.twitter.com/zFTJZmD5NM
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
#HabariLEO Wasomi wamkingia kifua Kikwete, wasema anastahili kupongezwa kwa mchakato wa katiba mpya pic.twitter.com/JY2dksaG5I
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
#HabariLEO Hospitali ya Amana imekuwa ikipokea wastani watoto wanne kila mwezi wanaofanyiwa ukatili ikiwemo kubakwa pic.twitter.com/pvCidqmC7Q
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
#HabariLEO Kampuni za simu ambazo zitasua kupeleka mawasiliano maeneo ya vijijini, zitapigwa faini pic.twitter.com/NPfHtQGk7x
— millardayo (@millardayo) June 16, 2016
ULIKOSA KUTAZAMA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JUNI 16 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE