AyoTV

VIDEO: Maswali yote na majibu Bungeni leo May 9 2017

on

Kutokea Bungeni Dodoma leo May 9, 2017 mkutano wa saba wa bunge umeendelea tena ambapo shughuli ilianza kwa kipindi cha maswali na majibu kwa serikali na haya ni baadhi ya makubwa yaliyosikika.

VIDEO: VILIO NA HUZUNI…. MIILI 32 IKIAGWA ARUSHA 

Soma na hizi

Tupia Comments