AyoTV

VIDEO: “Rais Magufuli anakwenda kulishangaza Taifa” – Kingu

on

Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu amesema ndani ya miaka michache ijayo Rais Magufuli atakwenda kulishangaza Taifa kwa kujenga Tanzania ya Viwanda huku akiwaambia Wabunge wa upinzani kuwa wamekuwa wakiikosoa Serikali na kutoa malalamiko bila kushauri njia mbadala.

LIVE: Bungeni Kipindi cha maswali na majibu May 18, 2017 

Soma na hizi

Tupia Comments