AyoTV

“Hali ni mbaya kuliko ilivyokuwa mwanzo” –Nape Nnauye

on

Mkutano wa Bunge la kumi umeendelea Dodoma ambapo Wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo yao katika taarifa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii pamoja na taarifa ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kuhusu shughuli za kamati kwa mwaka 2017 ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye na hapa anazimiliki dakika zake tano.

Mbunge Malecela kuhusu wanaosema Serikali ya Magufuli haijafanya lolote

Soma na hizi

Tupia Comments