Videos

VIDEO: Top 10 ya kali zilizobamba Bungeni wiki hii, vituko havijakosekana..

on

Kama na wewe unafuatilia ishu za bungeni basi najua kabisa utaenjoy nikikuweka karibu kabisa na  hizi video 10 zilizobamba wiki hii kwenye vikao vya bunge la 11 linaloendelea.

1. WABUNGE WAMECHEKA LAKINI ALLY KESSY KAFIKISHA UJUMBE WAKE

2.JOSHUA NASSARI VS WAZIRI LUKUVI BUNGENI ISHU IKIWA MIGOGORO YA ARDHI

3.PROFESA JAY KASIMAMA TENA BUNGENI… UZOEFU UMEONGEZEKA

4.’KABLA HATUJAINGIA BUNGENI TUWE TUNAPIMWA KAMA TUMEVUTA BANGI’ – MBUNGE ULEGA

5.KABLA YA KUONGELEA WANAUME KUTOOA WANAWAKE WAZURI MBUNGE BASHUNGWA ALIYAONGEA HAYA

6.MBUNGE HALIMA BULEMBO KATUSAIDIA KUIPATA TAKWIMU YA WANAFUNZI TANZANIA

7.KUNA MAMBO HAYAMPENDEZI ZITTO KABWE KWENYE ELIMU YA TANZANIA, KAYAONGEA BUNGENI

8.’WAZIRI UNATENGA FEDHA BILIONI 8 KUJENGA OFISI YAKO WAKATI WANAFUNZI WANAKAA CHINI’-MBUNGE PAULINE

9.’NI AIBU MIAKA 50 YA UHURU BADO TUNAJADILI MADAWATI’-MBUNGE MBARUKU BAKARI

10.’TUNASEMA ELIMU YETU INASHUKA WAKATI HATUJAJENGA MISINGI IMARA’-BONNAH KALUWA

Naomba ukishazipitia zote niandikie ungepata nafasi ya kuziandikia namba ungeandikaje kwa upande wako..!

ULIIKOSA HII?MBUNGE BASHUNGWA ‘MUDA HAUKUTOSHA KUELEZEA KAULI YA WANAUME KUSHINDWA KUOA WANAWAKE WAZURI’

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments