Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ishu ya Tozo yaibka tena Bungeni, sasa ni upande wa Makampuni
Share
Notification Show More
Latest News
TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Ishu ya Tozo yaibka tena Bungeni, sasa ni upande wa Makampuni
Top Stories

Ishu ya Tozo yaibka tena Bungeni, sasa ni upande wa Makampuni

September 21, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Naibu Spika, Mussa Azzan Zungu akiwa Bungeni Dodoma leo amesema Benki na Kampuni za Simu zinakata pesa nyingi zaidi kwenye miamala inayofanywa kuliko makato ya Serikali lakini inayolaumiwa ni Serikali pekee huku akishauri Mamlaka husika kudhibiti Benki na Kampuni hizo ili zipunguze kiwango cha makato.

“Jana Serikali imetangaza kupunguza gharama za miamala lakini Wananchi wengi wanalalamikia kodi ya Serikali hawatazami mapato yanayokatwa na Makampuni ya Simu, lazima iwe regulated (idhibitiwe), unatuma pesa Benki wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana lakini Serikali imejenga madarasa na vituo vya afya ndio inalaumiwa, hili nalo mlitazame ni namna gani mtaregulate mapato ya Benki kupunguza service charge zao pamoja na kwenye miamala ya simu”

You Might Also Like

TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.

Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

Edwin TZA September 21, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Watu wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua Mwanajeshi
Next Article Waziri asimama Bungeni asema “Tutajenga Veta Wilaya zote”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
Top Stories September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
Top Stories September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023

September 30, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2023

September 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 28, 2023

September 28, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2023

September 28, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?