AyoTV

VIDEO: Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni leo May 5, 2017

on

May 5, 2017 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea mjini Dodoma katika kipindi cha maswali na majibu kwenye Bunge la Kumi na Moja, Mkutano wa Saba katika Kikao cha Kumi na Nane.

Unaweza kutazama kwa kubonyeza play

VIDEO: ‘Hata Diamond aliimba nidanganye, Serikali mliangalie hili’ –Zitto Kabwe. Bonyeza play kutazama…

Soma na hizi

Tupia Comments