Top Stories

Pale ambapo Bunge lilisimama, Askari wakalazimika kuingia ndani ya Bunge Dodoma.. (+Picha)

on

January 27 2016 kikao cha Bunge kimeendelea Dodoma, yakaanza maswali na majibu kwa Mawaziri wa Serikali… baadae Waziri Nape Nnauye akatangaza kwamba kumekuwa na gharama kubwa sana TBC1 kurusha Live kikao cha Bunge kwa hiyo Bunge halitoendelea kurushwa, litarekodiwa na kurushwa usiku.

Hoja ya Waziri ikapelekea baadhi ya Wabunge kuamua kutoa hoja zao wakisisitiza kwamba hawakubaliani na suala hilo, Bunge likaahirishwa.

Bunge likaanza tena saa kumi jioni na baadhi ya Wabunge wakaendelea na msimamo wa kutotaka hoja ya TBC1 kutorusha matangazo ya Bunge Live, ikabidi Askari waingie ndani kutuliza hali hiyo.

a36ac74d-a3cc-47af-9f38-ed8cee04a98b

a391f8f9-013f-4c24-8706-2ff32973b336

b6f855e4-50f1-466f-a322-718ab371cd4e c1f9aff2-47fb-44d2-8d59-4c098e801a47

COVER II

Hapa ni Tweets alizoandika Mbunge Zitto Kabwe baada ya kutokea hali hiyo.

 

Polisi na makomandoo wameingizwa ndani ya Bunge na kuwatoa Wabunge nje kwa nguvu. Sijawahi kuona kitu kama hiki‘ >> @

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments