Mix

Yaliyomkuta Mbunge aliyesema Dk. Mwakyembe ni ‘Jipu’…(+Audio)

on

Feb 4 2016 Mbunge wa viti maalum  CHADEMA Jimbo la Iramba Magharibi Jesca Kishoa ameingia kwenye headline baada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge vilivyo salia baada ya kukataa kufuta kauli yake ya kumtuhumu Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe. Full stori ipo kwenye hii sauti hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwapia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments