Mix

Halima Mdee vs Dk. Mwakyembe bungeni leo Febr 2 2016 …(+Audio)

on

Leo Febr 02 2016 Bunge la 11 limeendelea Dodoma, lakini moja ya matukio yaliyojitokeza ni hili la majibizano ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee na Mbunge wa Kyela Dk. Harrison Mwakyembe. Hapa nimekusogezea tukio zima lilivyoanza hadi kumalizika.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments