Top Stories

Mambo yameanza Dodoma, ratiba ya Bunge ni hii + pichaz Wabunge waliofika..

on

Kama umetembelea mitandao ya kijamii utakuwa umeona pilikapilika za kinachoendelea Dodoma sasahivi, baada ya Uchaguzi Mkuu kuisha wale wote waliopita kwenye nafasi ya Ubunge wanasubiri shughuli ya kuapishwa halafu Vikao vya Bunge vinaanza.

Nimeipata Ratiba ya kitakachoendelea Dodoma kwa jumla ya siku saba mfululizo, yani kuanzia jana November 13  mpaka November 20 2015… Ratiba yenyewe hii hapa.

Bunge

Bunge II Bunge III

MAGHEMBE

Mbunge Mteule wa Jimbo Mwanga K’njaro, Prof. Jumanne Maghembe akiwasilisha nyaraka zake wakati wa kusajiliwa Bungeni Dodoma.

NGELEJA

Mbunge Mteule wa Sengerema, William Ngeleja nae kwenye foleni ya usajili katika Viwanja vya Bunge Dodoma.

Prof JAY

Joseph Haule a.k.a Professor Jay alipost hii picha kwenye ukurasa wake wa Instagram jana, halafu akaandika >>> ‘Hi everybody, MJENGONI DAY ONE!!!

WABUNGE

Wabunge wengine pia wakiendelea na utaratibu wa kusajiliwa Dodoma.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments