Top Stories

BUNGENI LIVE: Kipindi Mawaziri wanaulizwa maswali na Wabunge

on

Muda huu kupitia AyoTV na millardayo.com tunakuletea matangazo LIVE kutoka katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma ambapo miswada miwili ya sheria inatarajia kujadiliwa. Bonyeza PLAY kusikiliza na kutazama.

‘MADONGO’ MATANO YA MAGUFULI KWA CAG “OFISI YAKE NI CHAFU, HUTAKIWI BISHANA, SIKUTISHI”

Soma na hizi

Tupia Comments