Mix

VIDEO: Mbunge ataja kero zinazowakabili Wananchi wake ikiwemo mauaji

on

May 24, 2017 Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa alisimama Bungeni Dodoma na kulieleza Bunge kuwa jimbo lake ni kati ya majimbo yanayokumbana na changamoto za mauaji ya wananchi mara kwa mara kutokana na uhalifu kitu kinachosababisha kuishi kwa mashaka wakati wote.

VIDEO: Ushauri wa Mbunge Ulega kwa Rais Magufuli 

Soma na hizi

Tupia Comments