Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Burundi sasa hivi hadi Baiskeli zinaanza kulipiwa parking
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Burundi sasa hivi hadi Baiskeli zinaanza kulipiwa parking
Mix

Burundi sasa hivi hadi Baiskeli zinaanza kulipiwa parking

November 2, 2016
Share
2 Min Read
Burundi's President Pierre Nkurunziza talks to the media during a joint press conference with European Union Commission President Jose Manuel Barroso, unseen, at the end of their meeting at the EU Commission headquarters in Brussels, 5 December 2005.
SHARE

Baada ya nchi za magharibi zinazofadhili Burundi kuonesha kutopenda hatua ya Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kuwania Urais kwa muhula wa tatu, pamoja na kutumia nguvu kuzima maandamano na hivyo kukata misaada iliyokuwa wakitoa kwa nchi hiyo.

Habari iliyoripotiwa na BBC imeeleza kuhusu hatua mbalimbali ambazo nchi hiyo imezichukua baada ya wafadhili kukata misaada, Taarifa zinasema kwamba kuanzia sasa katika mji mkuu wa Burundi waendeshaji baiskeli, Pikipiki na magari wataanza kulipa ada ya kuegesha.

Serikali inanuia kukusanya mapato zaidi baada ya wafadhili wa magharibi kukata msaada wake kwa nchi hiyo. Aidha imeelezwa kuwa Serikali imefuta ufadhili wake kwa Vyuo Vikuu na badala yake wanafunzi wote watagharamia ada za masomo punde wakiajiriwa baada ya kufuzu.

Ada mpya za kuegesha ni dola mbili sawa na takribani Tsh 4,300 kwa baisikeli na dola 60 sawa takribani Tsh 130,000 kwa malori makubwa. Mabasi ya umma yatalipa dola sita sawa na takribani Tsh 13,000 kwa mwezi. Raia wengi wanahofia ada mpya huenda zikasababisha mfumuko wa bei ya bidhaa. Wakazi wengi katika mji mkuu tayari wanalalamikia ongezeko la gharama ya maisha huku ikielezwa kuwa wafanyakazi wengi hupokea dola 80 kwa mwezi.

Muungano wa Ulaya ulisimamisha msaada kwa serikali ya Burundi na kusema Mamlaka hazijasaidia kurejesha utulivu nchini.Msaada wa Muungano wa ulaya kwa Burundi ulikadiriwa kuwa dola milioni 470 kati ya mwaka 2014 hadi mwaka 2020.

Zaidi ya watu 400 wameuawa na wengine laki mbili na nusu kukimbilia katika nchi jirani kufuatia machafuko ya kisiasa yaliyozuka baada ya Rais Nkurunziza kuamua kuwania muhula wa tatu.

Mwezi uliopita Burundi ilitangaza kujiondoa kutoka uwanachama wa mahakama ya kimataifa ya jinai ICC. Tangazo hili lilitolewa miezi sita baada ya mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kusema atachunguza ghasia nchini humo.

Source; BBC

ULIKOSA HII YA SHIRIKISHO LA VYUO VIKUU KUTAJA HUJUMA ZA BODI YA MIKOPO? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

You Might Also Like

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

Burkina Faso :Vyombo vya habari vya Ufaransa vyafungiwa, baada ya kufanya mahojiano na Al-Qaeda.

Makamu wa Rais wa Marekani aahidi uwekezaji mkubwa barani Afrika alipotua nchini Ghana.

Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.

Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.

TAGGED: NewsAfrika, TZA HABARI
Edwin Kamugisha TZA November 2, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Yanga wakubali kipigo cha pili msimu huu dhidi ya Mbeya City
Next Article PICHA 20: Bondia Thomas Mashali alivyozikwa Kinondoni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?