Habari za Mastaa

Burna Boy ajizawadia gari lenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.3 za kitanzania

on

Ni Headlines za mkali kutokea Nigeria, Burna Boy ambae time hii ameingia katika vichwa vya habari baada ya kujizawadia gari mpya aina ya Lamborghini 2022.

.

Gari hilo aina ya Lamborghini Urus Novitec toleo la Mwaka 2022 lenye thamani ya (Naira 250M) sawa na fedha za kitanzania Bilioni 1.3

.

Burna Boy anasema ameamua kujizawadia Gari hilo jipya kama sehemu ya mafanikio na matunda ya muziki wake.

UTAIPENDA HARMONIZE NA BURNA BOY WAKIIMBA LIVE KAINAMA 2019

 

Soma na hizi

Tupia Comments