Habari za Mastaa

Burna Boy katuonesha mjengo wake wa kifahari uliopo Lagos nchini Nigeria

on

Ni Mkali kutokea Nigeria, Burna Boy ambae time hii amewaalika wataalamu wanaohusika na masuala ya nyumba waitwao Archietctual Digest kushuhudia mjengo wake.

Inaelezwa kuwa hii itakuwa ni mara ya kwanza kuonesha mjengo wake huo uliopo huko Lagos nchini Nigeria.

DIAMOND AWABURUZA ALIKIBA, HARMONIZE NA WENGINE VIPENGELE AFRIMA, LIST KAMILI YATAJWA

 

Soma na hizi

Tupia Comments