Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Burna BOY kuja na album mpya ‘Twice as Tall’ mwezi July mwaka huu
Share
Notification Show More
Latest News
Marekani kuzingatia vikwazo vya visa kuhusu sheria ya Uganda dhidi ya mashoga
May 30, 2023
FIFA imethibitisha ratiba ya michezo mingine yote ya Kombe la Dunia la U-20 inayoendelea.
May 30, 2023
Mahakama ya Libya imewahukumu kifo watu 35 kwa kupigania kundi la Islamic State
May 30, 2023
Pangani yatimiza ilani ya vijiji vyote kuwa na umeme.
May 30, 2023
bandari ya dar es salaam yaweka rekodi mpya katika kuhudumia shehena
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Burna BOY kuja na album mpya ‘Twice as Tall’ mwezi July mwaka huu
Habari za Mastaa

Burna BOY kuja na album mpya ‘Twice as Tall’ mwezi July mwaka huu

April 1, 2020
Share
1 Min Read
SHARE

Ni Mkali kutokea Nigeria, Burna Boy ambae baada ya The African Giant kufanya vizuri sokoni sasa ameujuza umma kupitia mtandao wake wa twitter kuwa anatarajia kuileta album yake nyingine aliyoipa jina la Twice as Tall.

Staa huyo aliweka wazi taarifa hizo baada ya shabiki kumuuliza swali na kupelekea kuitaja rasmi mwezi atakaoachia album hiyo mpya.

Burna Boy aliandika ‘Najisikia vibaya sana mama yangu kwenye muziki, Angelique Kidjo alinieleza  kila kitu ninachotakiwa kuelewa kuhusu tuzo za Grammys na sasa twice as Tall ndio jina la album yangu inayofuata nitakayoiachia mwezi July’- Burna Boy

KAMA ULIMISS SHANGWE LA HARMONIZE ALIVYOIMBA LIVE NA BURNA BOY BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Harmonize aibua mapywa, afichua ya Dada wa Diamond, aeleza alivyoshiriki kwenye wimbo huu mpya

Tazama Diamond ‘Sheikh Mansoor’ akiwapokea Watoto wake Airport na Rolls Royce ‘Tiffah na Nillah’

TAGGED: Burna boy, Igeria, Lagos, Nigeria
Edwin TZA April 1, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article LIVE: Waziri Mkuu “Corona ni janga”, Spika “Bebeni Sanitizer kwenye begi” (+video)
Next Article Taarifa kutoka Uganda visa vya Corona vyafikia 44
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Marekani kuzingatia vikwazo vya visa kuhusu sheria ya Uganda dhidi ya mashoga
Top Stories May 30, 2023
FIFA imethibitisha ratiba ya michezo mingine yote ya Kombe la Dunia la U-20 inayoendelea.
Top Stories May 30, 2023
Mahakama ya Libya imewahukumu kifo watu 35 kwa kupigania kundi la Islamic State
Top Stories May 30, 2023
Pangani yatimiza ilani ya vijiji vyote kuwa na umeme.
Top Stories May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

Marekani kuzingatia vikwazo vya visa kuhusu sheria ya Uganda dhidi ya mashoga

May 30, 2023
Top Stories

FIFA imethibitisha ratiba ya michezo mingine yote ya Kombe la Dunia la U-20 inayoendelea.

May 30, 2023
Top Stories

Mahakama ya Libya imewahukumu kifo watu 35 kwa kupigania kundi la Islamic State

May 30, 2023
Top Stories

bandari ya dar es salaam yaweka rekodi mpya katika kuhudumia shehena

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?