Habari za Mastaa

Burna Boy na Rema wang’ara kwenye playlist ya Obama

on

Wasanii kutokea Nigeria Burna Boy na Rema wameingia kwenye list ya wakali waliokosha moyo wa rais mstaafu wa marekani Baraka Obama kutokana na nyimbo zao kuwepo kwenye list ya ngoma kali alizozisikiliza Obama kwa mwaka 2019.

Baraka Obama ameonesha Playlist yake ya mwaka 2019 ambayo inawasanii wa kubwa huku Burna Boy na msanii Rema kupitia wimbo wake wa ‘Iron Man’ wakiwa ni miongoni mwa wasanii hao.

Hii hapa ndiyo list ya miziki pendwa aliyosikiliza Baraka Obama kwa mwaka 2019.

 

Soma na hizi

Tupia Comments